Exodus 29:7-9

7 aChukua yale mafuta ya upako umimine juu ya kichwa chake. 8 bWalete wanawe na uwavike makoti, 9 cpia uwavike zile tepe za kichwani. Ndipo uwafunge Aroni na wanawe mishipi. Ukuhani ni wao kwa agizo la kudumu. Kwa njia hii utamweka wakfu Aroni na wanawe.

Copyright information for SwhNEN